Guiness na afya

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
habari za majukumu wanajamii poleni na kazi. leo nataka tujulishane kuhusu faida ya hiki kinywaji,guiness kiafya..kutokana na tafti mbalimbali zilizofanyika mojawapo ni ile ya wisconsin team..imegundulika hiki kinywaji kina faidi nyingi sana kiafya kinapotumika kwa kiwango cha kawaida...wisconsin team walifanya jaribio la kuwanyweshwa mbwa wenye matatizo ya narrow arteries yaani mishipa ya arteri kusinyaa na kuwa midogo ...baada ya mda wale mbwa wote walikuta hawana tena tatizo hilo....

zifuatazo ni faida za guinness(bia mbili kwa mwanaume ,mwanamke bia moja)
1.HUZUIA MAGONJWA YA MOYO...kinywaji hiki kina antioxidant agents iliyopo pia kwenywe juice na mbogamboga inayosaidia kupunguza mafuta aina ya cholestorol yasabishayo kuziba au kupunguza mzungunko wa damu..
2.KUONGEZA MADINI YA IRON KWENYE DAMu
.inasemekana kwenye kinywaji hiki kuna madini ya iron yanayosaidia kutengeneza seli za damu aina ya red blood cell inayosaidia kusafisha hewa ya oxygen...
3.Huongeza nguvu....hufanya mwili kuwa na nguvu
 

Justification za kuendekeza mipombe tuu!! Haya bana..tumekusikia!! Na hiyo sababu ya tatu ni ipi sasa au ulikuwa unawahi guiness
 
Matangazo ya kibiashara.......pombe kufanywa kama dozi sasa!.Tumekusikia...maana itafika muda hadi bange na sembe tutaambiwa zina faida kwa mwili kutwa mara tatu baada ya kuamka na kabla ya kulala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…