Pre GE2025 Gulamali: Jimbo letu tumeondoa ziro, sasa hivi tuna one. Asante kwa Rais Samia

Pre GE2025 Gulamali: Jimbo letu tumeondoa ziro, sasa hivi tuna one. Asante kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake.
Adui wa Mtanzania ni CCM na katiba ya mwaka 1977. CCM imetuchelewesha sana, kwa rasilimali tulizonazo hatukutakiwa kuwepo hapa.

Ufisadi na ubadhirifu vimekithiri kila sehemu na hamna anayechukuliwa hatua.
 
..yeye mwenyewe Gulamali alipata nini form 4 na form 6..? maana hajajaza taarifa zake km onavyotakiwa na bunge.
 
Back
Top Bottom