Gulf Star manual (msaada)

Gulf Star manual (msaada)

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Wana jf nisaidieni niunganishe tv yangu,dish nimefunga nimeconnect kwa receiver sasa inanisumbua jinsi ya kusearch na kuinstall channels.
 
Kwanini usionane na wataalamu ? Usiwe mchoyo hiyo ni fani ya watu kuna watu ndio kazi zao ndio wako mitaani kwa ajili ya kazi hizo kwahiyo watafute watakusaidia uwalipe
 
Back
Top Bottom