TWisheshagi
Member
- May 2, 2020
- 14
- 209
KIJANA huyu kwa Mara ya mwisho nilikuwa naye pale UDSM. Kipindi hicho wote tulikuwa wanafunzi. Mimi nikiwa engineering, yeye akiwa social sciences.
Kipindi fulani alikuwa anafanyia uchambuzi kwenye magazeti ya MwanaHalisi na Raia mwema.
Huyu KIJANA ndiye alikuwa "Master mind" wa siasa za chuo. Alikuwa na uwezo mkubwa Sana wa kuandika hotuba za kusisimua.
MWAKA 2008,akiwa MWAKA wa pili, aliitwa kwenye kamati iliyoongozwa na Jaji Munishi kuchunguza vyanzo vya migomo pale main Compus.
Aliandika utetezi na ripoti nzuri ya kisomi iliyomstua hadi Jaji Mushi, nakusema: "Nimevutiwa Sana na utetezi wako, kama hautokuwa Kiongozi huko tuendako hutajitendea haki"
MWAKA 2009, lilianzishwa jarida la kisomi lililoitwa "Chemchem" kwenye jarida hilo ziliandikwa makala nzito za kisomi. Ni mwanafunzi pekee aliyepewa fursa ya kuandika makala za uchambuzi ndani ya jarida hilo, lilosimamiwa na Prof. Shivji na Dr. BASHIRU.
Sasa nimeambiwa ametoa nia Jimbo la Magu, kwa tiketi ya CHADEMA!