Uchaguzi 2020 Gululi Kashinde atia nia kulitaka jimbo la Magu mjini, mkoani MWanza

Uchaguzi 2020 Gululi Kashinde atia nia kulitaka jimbo la Magu mjini, mkoani MWanza

Hapana. Yule fundi anaitwa Gololi. Huyu ni Gululi. Baba yake ni mzee mmoja Mstaafu, anaishi mtaa wa national kama sikosei.
Yule mzee mwenye landrover 109 ...nimekumbuka aliwahi kuwa afsa usalama wa wilaya...nimekumbuka,pia alikuwa dogo Sana kwetu,Sasa kiswaga itakuwaje?
 
Back
Top Bottom