GUMZO: Al Ahly ageuka kibonde baada ya mechi na Simba

Angekua ameshinda game zote tano na idadi hiyo ya magoli siangekua anaongoza ligi ya kwao?
Kwenye msimamo wa ligi ya kwao, Al-ahal ni tatu.

Alafu kumbuka alifungwa na USM Alga hapa juzi tu.

Mkuu acha kutufanya wote humu ni Mbumbumbu wenzio, umesikia?
 
Mbna sasa mamelod wanajipigia hao Al Ahly na bado ubingwa wanachukua Al Ahly, mbna wao mamelod wanaishia semi final??
 
Umeandika vzr sana, nimeshangaa kusikia wachambuzi huko wasafii wakionesha kupingana na matokeo ya simba. Hata ya wydad yalikuw hivo pia nimewazoea nawaacha, maana haibadilishi maana.
Wachambuzi wa mchongo
 
Ila wee utopowiseee ndo size yako huyo Mamelodi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna mmevurugwaa vibayaa sana.
 
Na ubaya wa nchi hii watu wanaojua huwa wanakuwa pembeni vilaza sasa ndio huwa wanapewa nafasi
Anaejua ndio anaesema Al-ahal kabla ya kukutana na Simba ameshinda game tano mfululizo?
Hivi umesahau kilicho mkuta Al-ahal kwa USM Alger?.... tena hata mwezi haujaisha.

Huyo ni mbumbumbu mwenzio tu, sema huyo amevaa suti nyeusi na kiatu cha kufuta, huku kitambi kikitangulia mbele kama mimba ya miezi saba.

Atutulee upuuzi wake hapa.
 
Leo hoja hii inatetewa lakini kipindi Yanga anacheza na tp mazembe mlidai tp mazembe kashuka kiwango😂😂
 
Nimependa Matumizi yako ya neno Mbumbumbu, Ila ngoja tuone;

Katika League ya Misri, wapo round ya nne(4). Al Ahly anashika nafasi ya Saba(7) sio tatu(3) kama ulivyosema huku akiwa amecheza michezo miwili pekee, ambayo yote ameshinda.

Pamoja na kuwa imecheza michezo miwili pekee ila ni timu inayoongoza kwa goal difference katika ligi hiyo.

Hizo mechi tano ni mchanganyiko wa CAFCL, Ligi Kuu na Egypt Cup.

Kama mambo madogo kama haya unashindwa kuyajua au kuelewa, Wakikuita Mbumbumbu watakua wanakosea?
 
We pimbi wa kijivu, ilikuwaje nyie mkajisifu kuwasumbua USM Algiers plus kurudi na kamba shingoni ilhali kombe mmeliacha Algeria?
 
Weka mechi 5 za mwisho wewe Kolowizards.

Hata Ulaya timu kabla hazijaanza kucheza huchukua matokea ya mechi 5 za mwisho kukutana kimchezo, wewe hizo 11 unajumuisha na za miaka gani?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Makolokolo SC ni underdogs kwa Mamelodi Sundowns maana Mamelodi Sundowns ina kombe la klabu bingwa Africa, je wewe Mbumbumbu SC?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ila wee utopowiseee ndo size yako huyo Mamelodi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna mmevurugwaa vibayaa sana.
Swali rahisi.

1. Timu gani inaongoza kuifunga Mbumbumbu SC duniani?

Ukipata jibu jipige kifuani mara 3 mfululizo kisha sema hakika wewe ni Mpumbavu wa kidigitali.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Naomba jina la mchambuzi huyu, nataka nimtumie pepsi BIG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…