GUMZO: Al Ahly ageuka kibonde baada ya mechi na Simba

Leo hoja hii inatetewa lakini kipindi Yanga anacheza na tp mazembe mlidai tp mazembe kashuka kiwango😂😂
Alishuka haswaa na ndio maana aliangukia Shirikisho baada ya kufurushwa kombe la Klabu Bingwa na Vipers ya Uganda iliyokuja kushika mkia kwenye group stage
 
Vipi na USM Alger?
Alafu nilijua utakuja kuthibitisha kua Al-ahal kabla ya kucheza na Simba kashinda mechi tano mfululizo!![emoji23][emoji23][emoji23].... kumbe umekuja kuthibitisha umbumbumbu wako kwa mala nyingine.
Punguza kitambi kwanza hicho.
 
Alishuka haswaa na ndio maana aliangukia Shirikisho baada ya kufurushwa kombe la Klabu Bingwa na Vipers ya Uganda iliyokuja kushika mkia kwenye group stage
Basi na Al ahly kwasasa ameshuka kiwango
 
Mimi ni shabiki wa wana lunyasi lakini naomba niseme kwamba mpira wa sasa umebadilika mkubwa sasahiv watu wanacheza kitu kinaitwa Economic Football kwa maana ya kuwa Kama uliangalia mechi vizuri kwa % kubwa sana National Ahly hawakuwa na presha sana ya mchezo sababu walikuwa wana uhakika kwamba Simba ndio mwenye mlima mkubwa kupindua matokeo yale na kuwafanya wavuke.

Siku hizi mkubwa ni kwamba haijalishi timu inavukaje muhimu na cha kuzingatia tu ni kwamba imevuka kwenda hatua inayofata hizo zingine ni mbwembwe tu.

Tazama Mamelod Sandowns yuko home home na Petro de Luanda ametoka suluhu ya bila bila na hapo utasemaje?

Robertinho mwenyewe huwa anasema yeye hataki kujua timu inacheza vipi muhimu na anachojali ni je, timu inapata matokeo? Ukielewa hili utakuwa umepiga hatua kiakili.

Siku hizi kila timu inaingia uwanjani na game plan ya mechi husika kulingana na matokeo yanayohitajika. Ukitaka kuamini subiri mechi inayokuja ya Al Ahly na Mamelod ndio utaelewa ninachomaanisha kwa kuwa umewakosea sana heshima National Ahly eti kisa tu hizo draw mbili na Simba na kuvuka kwao kwa mgongo wa goli la ugenini.

Kilichotokea kwa Simba ni bahati tu na wala si zaidi ya hapo
 
Leo hoja hii inatetewa lakini kipindi Yanga anacheza na tp mazembe mlidai tp mazembe kashuka kiwango😂😂
Ahly hajafikia level za mazembe mpka kuja kumsajili singano na ambokile mazembe hawako vxuri huo ndio ukweli lkn Ahly bdo anaendelea kusajili mpka epl ligi kuu ujerumani huko akijisikia anasajili unamfananishaje na mazembe
 
Ahly hajafikia level za mazembe mpka kuja kumsajili singano na ambokile mazembe hawako vxuri huo ndio ukweli lkn Ahly bdo anaendelea kusajili mpka epl ligi kuu ujerumani huko akijisikia anasajili unamfananishaje na mazembe
Soma kilichoandikwa acha kukurupuka hakuna mtu kamlinganisha Al ahly na mazembe hapo
 
 
A failed team, aka Nkima waza na bhupe wayinyela inghana. Acheni excuse na mbambamba....
 
Kama hili punga hapa linajua kurembua macho tuView attachment 2792299

Jamaa kajishushia heshima sana. Binafsi nilishaacha kusikiliza hawa wacha mbuzi wa mchingo.

Unasemaje finalists wa juzi tu champions lg ni wabovu. Inamaana Wydad mbovu, ameshuka kiwango,
Al alhly nae mbovu ameshuka kiwango. Kisa tu wametifuana na Simba. Haya watuambie ni nani sasa aliyebora?
 
Kakishushia heshima pia kituo chake kazi,sasa hivi Wasafi FM imekuwa ni kitengo cha propaganda cha Yanga. Au ndiyo maelekezo ya mmiliki wake aliyemfuata mvuta bangi mwezake Haji Manara aliyehamia Yanga toka Simba.
 
Al Ahly si juzi tu alifungwa na USM ALGER waliocheza na Yanga fainali confederation? Na hao USM ALGER walifungwa na Yanga kwao fainali? kubali tu Al,Ahly imeshuka kiwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…