GUMZO la Magufuli Uchaguzi Wa Kenya

we binti kuna mengine uko sawa,lakini la kutengeneza ajira,kutekeleza ilani uchaguzi na kusimamia alichokisema kwenye kampeni zake, unasema uongo.baada ya kuupata tu anafanya anavyotaka bila kujali.kuna vitu vingi aliahidi lakini sasa hivi ni kama amesahau au anajisahaulisha,kwa mfano aliahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi kwa kupunguza makato,matokeo yake wanaambiwa kama mishahara ni midogo waache kazi wakalime.na tena amewaongezea makato kwenye bodiya mikopo.Acha kujikombakomba.
hizo fursa za ajira ziko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeandika mambo mengi ambaya hayapo kabisa vichwani mwa wakenya!
 
Umeshawahi Kuishi Kenya? Wakenya hawapendi kupeleke


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya hawakujua kuwa kujifananisha na Magu kunaambatana na goli la mkono!!
 
upumbavu huu...odinga ndiye alikuwa akitaja jina la JPM na kama kawaida ya wafuasi wake, huwa wanashangilia sana akisema chochote...esp ppl from a certain region of Kenya i dont wanna mention...
 
Kusema kweli nimepata furaha sana moyoni baada ya Odinga kushindwa. Na watanzania wengi wamefurahi kwa hili. Nikipimo tosha cha mtu flani hapendwi
 

Kweli kabisa, mpaka kamsaidia Raila kushinda, dadeki!
 
Aliekuwa akilitaja jina la JPM sana katika kampeni za Kenya alikuwa Raila Odinga...Of course na unaweza ona kama jina hilo limemsaidia kushinda ama kushindwa.....
Mkuu ujue Avatar hii imevamiwa, kwa heshima yako badili avatar hataka
 
Uhuru wa kujieleza wa Kenya ni sawa naWA Tanzania kwa sasa? Raila ndiyo maana kashindwa nani anakubali kupoteza haki yake ya msingi awe kama Tanzania?
 
Uhuru wa kujieleza wa Kenya ni sawa naWA Tanzania kwa sasa? Raila ndiyo maana kashindwa nani anakubali kupoteza haki yake ya msingi awe kama Tanzania?
 
 
Pamoja sana ndugu yangu... Ushauri umefanyiwa kazi...
Ewaaaaa, lazima ujitofautishe na watoto mkuu wangu, utatukanwa bure halafu upige ntu na uishie lupango.
Arusha kwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…