Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Muwe mnaoga mnapendeza na marashi siku hizi yanapimwa hadi ya jeroKwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili
Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa
Yaani hii ni atari pumbavu zako msomaji kuna wakati ninajiuliza kwani mimi niliwakosea nini kabisa mpaka dereva anifokea ndani ya uwanja