Gundu ni nini?

Gundu ni nini?

KatetiMQ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
249
Reaction score
506
Gundu ni...

Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂

Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni😂😂😂

Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu
Ile unatoka nje ndege anapita ankunyea ,,unarusha jiwe ili ummpige unamkosa wakat huo baba mwenye nyumba ndio anafika anakutanalo la uso😂😂😂

Unakimbia ndani haraka ili asikuone
Unajisahau kumbe ulifung mlango wa chumban kwako kwa speed uliokuwa nayo breki inafel unajipigiza mlangon unazimia😂😂

Baada ya muda unazinduka ,,

unaingia ndani unawasha feni haiwaki unataka kufanya utundu wako ili iwake unachanganya waya za hasi na chanya unapigwa shot unazimia tena😂😂

Unazinduka baada ya masaa kadhaa huku ukiwa una njaa ya kutosha,,

Unatoka nje mara unaona watu wanakimbia huku wakisema "mwizi" mwizi" mara unamuona uyo mwiz unaokota jiwe unampiga kwa hasira uyo mwizi anaanguka anazimia🎳

Mara watu wanashika kichwa,,kumbe ulio mpiga sio mwizi watu walikuwa wana shuti muvi::::tangazo haukulisikia kwan wakat wanatangza ulikuwa umezima😂

Waigizaj na raia wengine wanakuangushia kipondo(wanakupiga)

Unazima unajikuta upo hospital(raia wema walikusaidia)

Unaamka na wengee unakunywa drip kwakujua ni maji ya kandoro,,tumbo linaanza kuuma unpiga kelele😂

Wankuja manesi unapatiwa huduma ya kwanza then unalala baada ya dakika chache unaamka mgongo unakuuma unamuomba mgonjwa mwenzio mnabadilishan kitanda unajifunika shuka gubi gubi unalala,,

kumbe sehem alipo lala uyo jama alitakiwa akafanyiwe uparaeshen ya kichwa,,mwisho wa siku unapelkwa ww unaaenda kufanyiwa opareshi wakat hata hauumwi(unapelkewa ukiwa umelala na unachomwa sindano ya usingiz unalala vizur)

baada ya upasuaj madokta ndo wanshtuka kuwa wamemix watu,wanakushona wankurudisha odini

Unaamka unaona kichwa kizito unakipiga piga,,unapiga sehem ya mshono unapiga kelele maumivu makali unazimia tena kesho unaamka gundu limeisha😁😁
 
kweli humu kuna gundu. wasomaji 80 wanaojibu 6😛😛😛
 
Back
Top Bottom