Gundua tofauti katika picha hii

Mi naona wote wametia doa..maana nyumba inaonekana safi na tanashati lakini wakaazi wake wana mawaa..mafisadi, wezi, wahifadhi mafisadi, wasafisha wezi..n.k.
Jamani mmeitia doa nyumba hiyo..
Hawa ndo wale kwenye matani tunawaambia ni wachafu mpaka wakipita pembeni ya choo kinajiflush!!!!
 
Hakuna aliyenoa bse it was an open ended question
 
wote wamevaa miwani isipokuwa Yuda Iskaliyoti aliwasaliti wapenzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…