Gundua tofauti katika picha hii

Gundua tofauti katika picha hii

unaweza kugundu ni nani aliyetia doa hapa

dsc_1991.jpg


nahisi hawajakaa ki-itifaki.......... Kochi alokaa sharif alitakiwa akae jk
 
Mi naona wote wametia doa..maana nyumba inaonekana safi na tanashati lakini wakaazi wake wana mawaa..mafisadi, wezi, wahifadhi mafisadi, wasafisha wezi..n.k.
Jamani mmeitia doa nyumba hiyo..
Hawa ndo wale kwenye matani tunawaambia ni wachafu mpaka wakipita pembeni ya choo kinajiflush!!!!
 
Hakuna aliyenoa bse it was an open ended question
 
wote wamevaa miwani isipokuwa Yuda Iskaliyoti aliwasaliti wapenzi wake
 
Back
Top Bottom