Gunia 1,515 za Korosho zenye thamani ya Tsh Milioni 160 zaibwa mkoani Mtwara

Gunia 1,515 za Korosho zenye thamani ya Tsh Milioni 160 zaibwa mkoani Mtwara

Nimeona news TBC 160M sasa hiyo bilions sijui ya wapi ?
Tena hapakuvunjwa na walinzi wapo siku zote
 
Masahihisho watafanya akina Ben Mzinga wa ITV bwashee!

Maendeleo hayana vyama!
Haa🤣😂😁😅😄😃🤣😂😀😀😅😄😃🤣😂😁😀
Kiongozi Ulisikia Wapi?
Ni Millions 160,Achana Na Billions 160
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
 
Masahihisho watafanya akina Ben Mzinga wa ITV bwashee!

Maendeleo hayana vyama!
Haa🤣😂😁😅😄😃🤣😂😀😀😅😄😃🤣😂😁😀
Kiongozi Ulisikia Wapi?
Ni Millions 160,Achana Na Billions 160
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu

Sasa mimi nimemtaja kamanda?
Kumekucha
Tazama Uongozi Wa Jamiiforums.com Umeafanya Masahihisho Kwenye Kichwa Cha Habari
 
[emoji848]hapa sijaelewa[emoji116]
"....huku watuhumiwa watano wanashikiliwa na jeshi hilo kwa kosa la kupatikana na korosho zisizo na ubora."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JW waendelee na majuku yao ya kivita, ya kiraia watakula rushwa, wizi na hatimaye kutamani madaraka.

Miradi mingi ya suma inasuasua, je Jafo atawatia ndani wasimamizi ambao wengi ni maofisa?
 
Hapa naiona mikono ya wasiojurikana,
Hii kitu imepigwa na vitengo maalum,mtu wa kawaida unaibaje tani zote hizo?
Ni serikali pekee yenye mbinu na uwezo wa kuendesha operation Kama hii!!!
 
Fanya Masahihisho
Umepotosha!!
Millions 160
Siyo Billions 160
Ndio shida yake huyo jamaa, anadandia kila jambo haraka bila utafiti ili awahi JF utadhani ukiwahi kuchomeka habari unapokea malipo.
johnthebaptist kuwa makini na habari zako sio unapotosha potosha bwana!
 
Kumbe Unamjua, Halafu Tumemwambia Anabisha Mpango Uongozi Umefanya Masahihisho
 
Back
Top Bottom