ShindwaaaBado mwingine anatarajiwa kunyonyolewa muda c mrefu na majogooo
Huu ni mtazamo wangu , ambao naamini ndio mtazamo wa wengi .
Mpaka kufikia dk ya 79 , Everton 3 - 0 Man city , mwenendo wa timu hii na matarajio ya wapenzi wa timu ni vitu tofauti mno ! Afadhali mara mia Manuel Pellegrin.
Yaliyomkuta Morinho chelsea yanamnyemelea Guardiola , hakuna namna yoyote ya kumbakisha kocha mbovu kwa sababu ya jina lake tu .