Hii ni gusa achia kilio kwao maana anafungwa fountain gate lakini kilio kinasikika upande wa pili!
Graph ya Yanga inapanda kwa Kasi ya kimondo Kila mechi unaona tofauti ya kimbinu, kiuchezaji, na kiufundi, Ile Kasi itaziumiza timu nyingi zitachakazwa!
Kabla ya mechi hizi 3 goal difference ya Yanga ilikuwa 13 kwa 24 za Simba, lakini baada ya mechi 3 tiyali gepu Limekuwa closed, kwa sasa ni 26 kwa 26,, magoli ya kufunga ni 32 kwa 32,
Mjadala wa tumewazidi magoli imefungwa rasmi Leo, umebaki mjadala wa goli za kufungwa ambazo na zenyewe ni 6 kwa 5, na wenyewe utafungwa muda si mrefu ligi ikirejea round ya pili!
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
GUSA ACHIA KILIO KWAO=🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️