Gusa achia twende kwao imedumu miezi mingapi?

Eti naniii hivi ni kweli CR Belouizdad wamchukue coach side kweli!!?

Kwani Ibenge hawajamuona? Hawa Wachambuzi hawajui kitu,Kocha alikubali kuwa ataivusha Yanga Kuipeleka robo Ndio kipengele cha mkataba.
 
Kwani Ibenge hawajamuona? Hawa Wachambuzi hawajui kitu,Kocha alikubali kuwa ataivusha Yanga Kuipeleka robo Ndio kipengele cha mkataba.
wanaogopa kusema ukweli, anyway saidi kaondoka tutarajie nini kutoka kwa huyu HAMADI aliyekuja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…