Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gamondi hakupaswa kuondoka Kwa aibu baada ya kufikisha robo fainali ya Klabu Bingwa baada ya miaka 20 na ushee. Na isingekuwa figisu za WA SA Yanga ilikuwa inatoboa nusu.Hakuna kitu tunayoyajua ni machache sana japo kwa gamondi iliwagusa wengi. Huyu side sikuwahi kumuelewa kabisa.
Hajafukuzwa Ila amefanywaje?Bora aende sijawahi kumuelewa kabisa. Japo mleta taarifa ameleta kiudaku tu, sababu ziko wazi hajafukuzwa.
Wamechukua slogan ambayo inaendana na Simba kuliko wao ndo maana wameikimbia fastaGusa achia tukashenyentwe imekufa kifo cha Mende
Poor Utopolo
Sipingi hilo mkuu upo sahihi, binafsi mpaka sasa nasikitishwa sana na kuondoka kwa gamondi.Gamondi hakupaswa kuondoka Kwa aibu baada ya kufikisha robo fainali ya Klabu Bingwa baada ya miaka 20 na ushee. Na isingekuwa figisu za WA SA Yanga ilikuwa inatoboa nusu.