Gusa achia twende kwao imedumu miezi mingapi?

Tatizo la Yanga siyo kocha, ni timu kusheheni maveterani. Mfano Pacome, Chama, Mkude, Aucho, n.k wanamzidi umri Ngasa a.k.a uncle aliyestaafu soka kitambo sana
 
Hakuna kitu tunayoyajua ni machache sana japo kwa gamondi iliwagusa wengi. Huyu side sikuwahi kumuelewa kabisa.
Gamondi hakupaswa kuondoka Kwa aibu baada ya kufikisha robo fainali ya Klabu Bingwa baada ya miaka 20 na ushee. Na isingekuwa figisu za WA SA Yanga ilikuwa inatoboa nusu.
 
Ramovich ndio sababu hatujafuzu robo CAF, ana bad squad selection, bora ameondoka tu.
 
Kwa hiyo ndugu wajumbe slogan inabadilika au tunaendelea nayo
 
Gamondi hakupaswa kuondoka Kwa aibu baada ya kufikisha robo fainali ya Klabu Bingwa baada ya miaka 20 na ushee. Na isingekuwa figisu za WA SA Yanga ilikuwa inatoboa nusu.
Sipingi hilo mkuu upo sahihi, binafsi mpaka sasa nasikitishwa sana na kuondoka kwa gamondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…