UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wakati wenzao wakifungua mabox ya zawadi Leo,upande wa pili wao wamefungua midomo na kutoa milio ambayo Kwa takribani siku kadhaa haikuwepo baada ya mabingwa wa nchi Young Africans Kuwa na mwenendo mbaya katika ligi kuu ya NBC pamoja na Ile michuano ya Kimataifa
Wakati mabingwa hao wa nchi wakifanya vibaya,zilisikika kejeli na maneno ya kashfa kutoka Kwa wachambuzi "Uchwara" wakiinanga Yanga ya kwamba muda wao umeisha na hivi Sasa ni muda wa Makolokwinyo!
Haikuishia hapo tu,viongozi wa Makolokwinyo wakiongozwa na yule msengenyaji wao waliendelea kuwananga wachezaji wa Yanga huku wakiwatolea maneno ya dharau na kejeli!
GUSA,ACHIA,TWENDE KWAO
Falsafa hii imekuwa mwiba mchungu hasa Kwa Makolokwinyo na wachambuzi "Uchwara" ambao walishaswma na kutabiri anguko la mabingwa wa nchi!
Ndiyo kwaaaaaaaaaanza ni mechi zisizozidi 5 tangu falsafa hii ianze kuwachizisha Makolokwinyo na milio ishanzaa!
GUSA ,ACHIA ,TWENDE KWA MANGUNGU 😂😂😂