Gusa, achia,twende kwao yaanza kuwapagawisha watu,milio ya GSM anaharibu ligi imeanza upya

Gusa, achia,twende kwao yaanza kuwapagawisha watu,milio ya GSM anaharibu ligi imeanza upya

Kipimo kipo kule kimataifa...uku mboni mnajua chochoro za kupita
Kweli kabisa [emoji1787]
images%20(7).jpg
 
Dhambi ataikemea atakapowakung'uta Makolokwinyo!
Siku hizi zile story zako za mchongo umeacha umekuwa chawa wa yule jamaa alikupelekea moto baada ya kuamini utajiri wake ukatoka baru.... 😁😁😁ILA ANGEKUUA YULE. Bora uwe chawa wa nyuma mwiko.
 
Back
Top Bottom