R Rylah New Member Joined Jun 3, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Jun 14, 2020 #1 Hello guys mtaalam kutoka ujeruman hapa, kwa wale wanaojifunza au tayari wanaozungumza kijerumani, Guten Abend! Tyko pamoja nafyrahi kutinga hapa mjengoni, naombeni ukaribisho wenu wadau wa nguvu katika familia hii ya JF
Hello guys mtaalam kutoka ujeruman hapa, kwa wale wanaojifunza au tayari wanaozungumza kijerumani, Guten Abend! Tyko pamoja nafyrahi kutinga hapa mjengoni, naombeni ukaribisho wenu wadau wa nguvu katika familia hii ya JF
isajorsergio Platinum Member Joined Apr 22, 2018 Posts 4,143 Reaction score 6,560 Jun 14, 2020 #2 Bitte Rylah, Welcome to JF! We are very excited to have you as a part of our family.
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,715 Jun 15, 2020 #3 Mgeni wa pili kutoka ujerumani,karibu.
Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,247 Reaction score 1,815 Jun 16, 2020 #4 Karibu sana ...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 18, 2020 #5 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.