Guten Abend

Guten Abend

Rylah

New Member
Joined
Jun 3, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Hello guys mtaalam kutoka ujeruman hapa, kwa wale wanaojifunza au tayari wanaozungumza kijerumani, Guten Abend! Tyko pamoja nafyrahi kutinga hapa mjengoni, naombeni ukaribisho wenu wadau wa nguvu katika familia hii ya JF
 
Bitte Rylah,

Welcome to JF! We are very excited to have you as a part of our family.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Back
Top Bottom