Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
status zakuulizia selection za chuo ukizihesabu hata 50 zinafika kwasiku nahuo mwendo kila siku hivi kwanin usipitie status inayoendana na unachotaka kujua then ukaunganisha unachotaka kujua kama lengo nihilo,
jama nikuwa na status nyingi fine ila nahs sio vema
Waelewa nadhan wameelewa viseversa utacheka maneno yao
jama nikuwa na status nyingi fine ila nahs sio vema
Waelewa nadhan wameelewa viseversa utacheka maneno yao