guys hivi ni kwel form six waliomalza juz mitihan wameambiwa waombe mkopo????????

guys hivi ni kwel form six waliomalza juz mitihan wameambiwa waombe mkopo????????

Slaker

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
237
Reaction score
31
nimeshkwa na butwaa pale nilipokutana na dogo katoka omba mkopo wakat matokeo hajapata
hv n kweli heslb wameshndwa kuweka waz suala hlo
mpaka wakakusanya pesa za watoto wa watu
wakifel je?????
mwenye taarifa kamil jaman wakuu
 
hata mwaka jana ilikuwa hivi.unashangaa nini.watu wamesharudisha fomu mda wanasubiri jkt tu
 
kabla matokeo?????? hapan
una fikir mkopo watu wanaomba wa ne ne????
yaan hata mitihan haujamalza uombe mkopo??????
wanin???
 
me me nawaonea huruma madogo walituma kabla ya matokeo........kama akifel kaliwa.......thats y
loan board wameondoa attachment ya result slip ya form six....il wavune
 
nimeshkwa na butwaa pale nilipokutana na dogo katoka omba mkopo wakat matokeo hajapata
hv n kweli heslb wameshndwa kuweka waz suala hlo
mpaka wakakusanya pesa za watoto wa watu
wakifel je?????
mwenye taarifa kamil jaman wakuu

Mimi nilimaluza form six 2008 na baada ya kumaliza tulipewa form za mkopo shuleni,tukaenda nazo nyumbani tukazijaza na kulipia vank by that time it was 30000,so ni kawaida kuomba mkopo kabla ya matokeo,the early the better
 
naona hakuna mwenye taarifa kuhus nacho ulizia me me
back to 2008 hakukuwa na system mzaz
olas haikuwepo sasa lazma mngefanya mambo mapema mapema........
 
hii system tangu mwaka jana.si wewe wa kwanza

actually
najua since day one watu wana anza tumia system
broh nilkuwepo........
me me naulza shwala la watu ambao wanaomba mkopo wakat hawana adv. cert vya kuwapeleka huko
inakuwaje????
 
actually
najua since day one watu wana anza tumia system
broh nilkuwepo........
me me naulza shwala la watu ambao wanaomba mkopo wakat hawana adv. cert vya kuwapeleka huko
inakuwaje????

aha.sikuhizi kama kamali .kama mtu hana uhakika na necta basi.unaomba na cheti cha form 4
 
wahi mapema kama hujajaza form usije kosa pesa ndugu
 
Back
Top Bottom