Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeshkwa na butwaa pale nilipokutana na dogo katoka omba mkopo wakat matokeo hajapata
hv n kweli heslb wameshndwa kuweka waz suala hlo
mpaka wakakusanya pesa za watoto wa watu
wakifel je?????
mwenye taarifa kamil jaman wakuu
nimeshkwa na butwaa pale nilipokutana na dogo katoka omba mkopo wakat matokeo hajapata
hv n kweli heslb wameshndwa kuweka waz suala hlo
mpaka wakakusanya pesa za watoto wa watu
wakifel je?????
mwenye taarifa kamil jaman wakuu
higher education students' loans board -heslb watakupa majibu...., but ni kwamba hawaja anza
kabla matokeo?????? Hapan
una fikir mkopo watu wanaomba wa ne ne????
Yaan hata mitihan haujamalza uombe mkopo??????
Wanin???
hii system tangu mwaka jana.si wewe wa kwanza
wewe haukwenda kwenye maonesho ya vyuo vikuu e?.kaa kimya
actually
najua since day one watu wana anza tumia system
broh nilkuwepo........
me me naulza shwala la watu ambao wanaomba mkopo wakat hawana adv. cert vya kuwapeleka huko
inakuwaje????
mkuu me nishapita huko kitambo
ok mi mwenyewe nishapita.ila nilikuwa nawaeleza walioweka thread
ndo maana me nkamuwekea link hapo asiwe mvivu wa kufatilia mambo yanayo mhusu
pamoja mkuu