Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
chezea team kuoshwa enzi hizoooo!!!! yani unapakwa soap mwili mzima then unasuguliwa mpaka basi!
kweli mambo yanabadilika,, siku hizi hivi vitu vinapotea mdogo mdogo!!
natamani kuwa kama mtoto! teh teh!
kweli mambo yanabadilika,, siku hizi hivi vitu vinapotea mdogo mdogo!!
natamani kuwa kama mtoto! teh teh!