UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
- Thread starter
-
- #61
For sure I'm with you asilimia mia ila power of love bhana acha tuItikadi Kali na ushirikina wapi na wapi? Jambo la msingi aongee na mke wake na kumpa ushahidi wa kutosha kisha aachane nae.Miongoni mwa vitu kwavyo sisi waislamu tumeruhusiwa kutoa talaka kwa mke ni kama mwanamke ni mzinifu kama mwanamke ni mshirikina kama mwanamke hapendi dini na mengineyo ruksa kumtaliki...
ha hahaha basi sawa
hapo ndiyo tunakoseaga aiseeMume mwenyewe unakuta full stress kila siku unategemea nn?
Akikamatwa Na mnywa konyagi huko nje Na hizo fujo atakazopata lazima akolee
Na akili zenu dada zangu za kushikiwa huwa mnajisahau kabisa!
kumbe kuliwa mke inauma ee? mbna wao wanakula tu nnje while wake zao wakiwa wametulia ndani!? atampofua na atapata mwngine wa kumla tena.Katika kutimiza majukumu kadha wa kadha nilipita wizara flani, sasa hapa nimekutana na officer wa hiyo ambae pia ni mshikaji wangu kitambo sana.
Huyu jamaa ni mate wangu wa chuo enzi zile tulikua tukimtania kwa kumuita sadam husein, jamaa ni mwenyeji wa mafia yani ni mtu wa dini saaana.
Sasa katika story nikawa namuuliza vipi kaka mbna kama hauko sawa kuna tatizo, au magu anakupumulishia mirija, tukacheka na nini ila bado ilikua wazi jamaa anasumbuliwa na kitu.
Sasa katika maongezi na udadisi juu ya wizara yao nikamgusia kuna mshikaji flani ambae hapo ni bosi..
Jamaa si akapasuka kua huyu jamaa anapiga mke wake yeye anajua ila wao hawajui kama anaelewa kinachoendelea na jamaa kakili anampenda mke wake hawezi kumuacha kwani amezaa nae ndicho kinachomuuma.
Nikamshauri kua si akae wazungumze na mke wake kau hapendi hayo mambo, heee jamaa kakataa katakata akawa anasema wa kuongea nae si mke wangu dawa ni huyo anaejidai kidume, yeye amepanga kumsafiria tu kwenda kwao mafia ili amuadabishe, nikabaki mdomo wazi.
Nikachoka zaidi aliposisitiza kua unafikiri namuua wala hata simuui kaka, wala kumnyong'onyesha ila namtia upofu kwani hayo macho ndio yanampa kiburi sasa tuone, kama atafanya kazi, au ataitajika tena hapo wizarani.
Nikabaki duuh kaka dhambi unafanya, akawa ananiambia sasa unapochokoza vita ya mawe na nyumba yako ya vioo unatakaje.
Nikabaki kumuonea huruma tuu jamaa kua si muda mrefu upofu unamuingia.
Nb: kama upo humu kaka jipange au peperusha bendera nyeupe jamaa,nimeileta humu makusudi maana upofu usawa huu duuh.
Atapofuliwa piakumbe kuliwa mke inauma ee? mbna wao wanakula tu nnje while wake zao wakiwa wametulia ndani!? atampofua na atapata mwngine wa kumla tena.
magu anatunyoosha haswaNipo mrembo, maisha tu ndo yametukaba na Magu wetu.
atapata mwngne tena. inaonekana na yy anamzigo wa nnje thus y na mkewe kaamua hivo.. aache ili mkewe na yeye atulie sio anakazania kutia upofu wnzake while yeye hana heshima kwenye ndoa yke.Atapofuliwa pia
Hahaatapata mwngne tena. inaonekana na yy anamzigo wa nnje thus y na mkewe kaamua hivo.. aache ili mkewe na yeye atulie sio anakazania kutia upofu wnzake while yeye hana heshima kwenye ndoa yke.
Hapo ndipo unapo nichanganya kabisaaaa wallah....wake za watu wa nini? wakati mademu kitaa kibao hawana hata mabwana
Ohooooo....[emoji15] [emoji15]Upo wizara gani wew mleta mada?
kati ya mke na bosi nani hajitambui? bosi ndo mwenye makosa,ukiishi kwa upanga utakufa kwa upangaMshauri huyo mtu wa Mafia,atumie busara alizopewa na mwenyezi Mungu.
Kama ni ukipofu anapaswa kumpa mke wake ambaye hajitambui.
Anahangaika na huyo mmoja anayemjua,kama wapo wengine asiowafahamu je.???
Na vipi akianzisha mahusiano na wanaume wengine,nao ataenda kuwapofoa macho...???
Mkuu.....Mshauri huyo mtu wa Mafia,atumie busara alizopewa na mwenyezi Mungu.
Kama ni ukipofu anapaswa kumpa mke wake ambaye hajitambui.
Anahangaika na huyo mmoja anayemjua,kama wapo wengine asiowafahamu je.???
Na vipi akianzisha mahusiano na wanaume wengine,nao ataenda kuwapofoa macho...???
Hicho ulichoandika umekisoma kabla ya kupost kweli...???kati ya mke na bosi nani hajitambui? bosi ndo mwenye makosa,ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga
He...[emoji15]Upo wizara gani wew mleta mada?
Vipi Bro unagonga ngoma ya mtu nn mkuu. Acha hayo mambo utapata upofu
Those are empty threats, amekosa dawa ya kumfunga mke wake asipigwe nje, ataipata wapi dawa ya kumtia mpofu mtu anae kula mke wake?!!!!Katika kutimiza majukumu kadha wa kadha nilipita wizara flani, sasa hapa nimekutana na officer wa hiyo ambae pia ni mshikaji wangu kitambo sana.
Huyu jamaa ni mate wangu wa chuo enzi zile tulikua tukimtania kwa kumuita sadam husein, jamaa ni mwenyeji wa mafia yani ni mtu wa dini saaana.
Sasa katika story nikawa namuuliza vipi kaka mbna kama hauko sawa kuna tatizo, au magu anakupumulishia mirija, tukacheka na nini ila bado ilikua wazi jamaa anasumbuliwa na kitu.
Sasa katika maongezi na udadisi juu ya wizara yao nikamgusia kuna mshikaji flani ambae hapo ni bosi..
Jamaa si akapasuka kua huyu jamaa anapiga mke wake yeye anajua ila wao hawajui kama anaelewa kinachoendelea na jamaa kakili anampenda mke wake hawezi kumuacha kwani amezaa nae ndicho kinachomuuma.
Nikamshauri kua si akae wazungumze na mke wake kau hapendi hayo mambo, heee jamaa kakataa katakata akawa anasema wa kuongea nae si mke wangu dawa ni huyo anaejidai kidume, yeye amepanga kumsafiria tu kwenda kwao mafia ili amuadabishe, nikabaki mdomo wazi.
Nikachoka zaidi aliposisitiza kua unafikiri namuua wala hata simuui kaka, wala kumnyong'onyesha ila namtia upofu kwani hayo macho ndio yanampa kiburi sasa tuone, kama atafanya kazi, au ataitajika tena hapo wizarani.
Nikabaki duuh kaka dhambi unafanya, akawa ananiambia sasa unapochokoza vita ya mawe na nyumba yako ya vioo unatakaje.
Nikabaki kumuonea huruma tuu jamaa kua si muda mrefu upofu unamuingia.
Nb: kama upo humu kaka jipange au peperusha bendera nyeupe jamaa,nimeileta humu makusudi maana upofu usawa huu duuh.
Siku ukitoweka humu jamvini nitajua tu, tayari ushatengenezwa aiseeeekaka mkanye mkeo wizara sio mali yangu
Ukiona una mke ambaye anatembea na mwanaume ambaye anajuana naMkuu.....
Hivi ulisha wahi kuchapiwa na ukayapata maumivu yale bayo sisi tulio wahi kuchapiwa tuliyasikia?
ExperienceMkuu.....
Hivi ulisha wahi kuchapiwa na ukayapata maumivu yale bayo sisi tulio wahi kuchapiwa tuliyasikia?