UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
- Thread starter
- #81
Tulikua tunamuita Saddam HusseinAnaweza kweli kumpa upofu maana kuna watu wengine toka utotoni wamekaririshwa roho mbaya, kuchapa viboko na hata kuwatia wazimu wanajifanya wana uwezo wa kuhukumu na hali mwenye haki ya kuhukumu ni Mungu tu