Guys mbona mko hivi??

heheeee umemtoa wapi? uko fasta kama upepo nawe!!

Hahahaha nipo kikazi zaidi mama after all nina kiu sana Xpin siku hizi ananitosa kwenye alkoholi.
 
Mi mbona sijaona ? Fidel80 tuambie aliweka nini mama wa Kwanza??

Ngoja jamani tuache maana mnaweza mhukumu bure wkt tayari kesha jisahisha na kukubali makosa.
Twendelee na mada mezani
 
hebu nitonye hiyo mipaka Fidel ya kujipodoa

Huyo hapo, alikuwa si mchezo.
Wadau nawakilisha tu.

Si utani BHT anatisha

JS umenikumbusho mtanashati mwingine aliitwa Matukio Chuma!! alikuwa sopusopu kweli kweli sijui yuko wapi siku hizi

Atakuwepo tu ngoja nitaanza kumsaka
 
hebu nitonye hiyo mipaka Fidel ya kujipodoa

Si utani BHT anatisha

Atakuwepo tu ngoja nitaanza kumsaka

alikuwa msafi huyu wee acha tu nakumbuka enzi zetu tukiwa wanafunzi alikuwa anafunika kwa usafi yaani hao wa marekani ndo wamenikumbusha huyu mwanaume......

kheeeee unamsaka tena JS????
 
\

Jamani dada FL1 usijali mambo ya kawaida tu hayo. wanoko hawakuona hiyo wangeipata mbona ingekuwa tabu hapa sasa hivi
 
alikuwa msafi huyu wee acha tu nakumbuka enzi zetu tukiwa wanafunzi alikuwa anafunika kwa usafi yaani hao wa marekani ndo wamenikumbusha huyu mwanaume......

kheeeee unamsaka tena JS????

Mweeee yaishe BHT ila ilikuwa ni kumsaka tu niuone utanashati wake. Nanihiiii asije huku itakuwa balaa
 
\

Jamani dada FL1 usijali mambo ya kawaida tu hayo. wanoko hawakuona hiyo wangeipata mbona ingekuwa tabu hapa sasa hivi

aaah kumbe na wewe uliona?? hau kam bana mi sijaona.....niambie basi likuwa kitu gani...guys bado robo saa ntakufa msiposema wat was it!!!

Mweeee yaishe BHT ila ilikuwa ni kumsaka tu niuone utanashati wake. Nanihiiii asije huku itakuwa balaa

shauri yako.....shauri yakoo weee....shauri yako........
 
Hongera sana FirstLady1

For acting with a sense of urgency on the matter. Hongera pia JF members..................!!!!

You need Congratulations rather than Punishiment for that.

Kweli JF ni Forum ya wastaarabu Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Thanks firstcollina..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…