Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
heheeee umemtoa wapi? uko fasta kama upepo nawe!!
Hahahaha nipo kikazi zaidi mama after all nina kiu sana Xpin siku hizi ananitosa kwenye alkoholi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheeee umemtoa wapi? uko fasta kama upepo nawe!!
Mi mbona sijaona ? Fidel80 tuambie aliweka nini mama wa Kwanza??
Haya mama ubaya hakuna lakini kwa mwanaume kuna mipaka yake ya kujiweka soap soap asipitilize, akipitiliza anakuwa kama mwanamke hata kama ameulamba lakini huo mng'ao unakuwa wa kumvutia mwanaume mwenzie hata pindi anapo pita maeneo ya kati mafundi dawasco lazima wataonyeshana ishara flani kuwa ile ni kazi yetu, Nafikiri unanipata pata, ukiwa na handsome boy anajikarabati kama wewe mpaka anakuzidi mng'ao wenzio wanaweka alama za ?????
![]()
Huyo hapo, alikuwa si mchezo.
Wadau nawakilisha tu.
JS umenikumbusho mtanashati mwingine aliitwa Matukio Chuma!! alikuwa sopusopu kweli kweli sijui yuko wapi siku hizi
hebu nitonye hiyo mipaka Fidel ya kujipodoa
Si utani BHT anatisha
Atakuwepo tu ngoja nitaanza kumsaka
\kwa heshima na taadhima haikuwa dhamira yangu kuwavunjia heshima wapenzi wangu nimeweka bila hata kujua nilikoitoa sijui nime-edit sijui kama bado inaonekana ..
Nisameheni mie dada yenu sikuwa na nia ya kufanya hivyo..
pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee forgive me all
alikuwa msafi huyu wee acha tu nakumbuka enzi zetu tukiwa wanafunzi alikuwa anafunika kwa usafi yaani hao wa marekani ndo wamenikumbusha huyu mwanaume......
kheeeee unamsaka tena JS????
\
Jamani dada FL1 usijali mambo ya kawaida tu hayo. wanoko hawakuona hiyo wangeipata mbona ingekuwa tabu hapa sasa hivi
Mweeee yaishe BHT ila ilikuwa ni kumsaka tu niuone utanashati wake. Nanihiiii asije huku itakuwa balaa
Hongera sana FirstLady1
For acting with a sense of urgency on the matter. Hongera pia JF members..................!!!!
You need Congratulations rather than Punishiment for that.
Kweli JF ni Forum ya wastaarabu Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Hiyo ya chini ndo inavunja sheria ya jukwaa ni ya mwanamke
![]()
Huyo hapo, alikuwa si mchezo.
Wadau nawakilisha tu.