Guys naombeni ushauri

Chagua moja mke au kuendelea kuwa mpagani.
Huwezi kumbadilisha labla apate anguko la kiroho.
Unamwona anafaa kuwa mke kwa sababu ya alicho nacho ndani yake ambacho ni IBADA.
Pengine kama sio kanisa angekuwa disco na usingeona anafaa kuwa mke.
ASANTE MUNGU MAANA NA WEWE UNAENDA KUBADILIKA KUPITIA YEYE. AMEN
 
Ujinga wanaoufanya mabinti wengi waliookoka ni huu sasa, wanavutika na vitu vidogovidogo vya kupita kama vigali, vipesa nk wanasahau kingdom standards katika kupata mme!
Nasema hili sasa kwa msichana yoyote aliyeokoka atakayesoma hapa: Adam aliletewa mke alipokuwa kwenye uwepo wa Mungu ,na wewe unapotafuta kuolewa angalia mwanamme aliyepo kwenye uwepo wa Mungu, usijidanganye eti utambadilisha na kumleta kwa Mungu, never! Huwezi kwenda bar ukapata mme mwema wewe!
Mnakuja kutuletea watu kama hawa sasa
Hosea4:6
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,
Huyo dada kama hataki maarifa acha aangamie
 
Mtoa maada sina ushauri wowote kwako
Hongera kwa kazi yako ya uagent
Lakini ina haina mwisho mzuri
Mwisho wake ni majuto
Imeifanya siku yangu ianze vibaya
Vitu vingine msiwe mnatutangazia bhana
 
That's love now
Unfortunately I call it a "big lie", huyu atakuwa anapretend tu kuwa mtu ambaye yule dada anafikiri ndiye. Muulize kama ataweza kupretend milele? Wakifikia kwenye ndoa huyu taratibu atarudi to his old ways, apretend tena vya nini while ameshapata alichokitaka. Ndo hapo makwazo yanapoanza. It's better ukubali hali ya mtu kama ilivyo ukajua mwenyewe utaibebaje, kuliko ukawa na mtu ukifikiri yupo A, kumbe mwenzio yupo Z. Dada anavisualize maisha ya kanisani, mume ndo kiongozi wa ibada home etc, mume anawaza saa ngapi akapige gambe na washkaji mweee. Mwana Ibada Vs Asiyeamini, ngoma inoghile. Wanapendana ila hawahitajiani
 
Haha nimejikuta nimecheka, ulichokiongea ni kweli kabisa. Kuna wakati unakutana na mtu, unasema he is all that i want, but unfortunately he is simply not what I need. Huyu mkaka he is ok, anafaa kuwa mume, but sio mume wa huyo dada, the same kwa mdada. Wanatakana but lifestyles zao hazihitajiani, hazimatch kabisa, wakiendelea hivi hivi bila mmoja wao kubadilika, basi huko mbeleni wajiandae sana kwa makwazo. Ingawa pia Mungu anaweza akakuletea mtu kwa package ambayo hujawahi hata kuiwaza, anataka mtu huyo akabadilike kupitia wewe, yeye atajua akutumiaje wewe kama chombo ili huyo mtu mwingine apate kupona, lakini omba Kwanza Mungu akuthibitishie kuwa huyu ndiye, usije jikuta wewe ndo umeishia kuifuata njia yake. But again mahusiano yoyote yanayokufanya u- compromise uhusiano wako na Mungu, sio mahusiano mema period.
 
Umejuaje kama ana shetani?
 
Sina ujanja wacha niwe mpole tuu mke namtaka haswa siwezi kuwa na namna isipokua kukomaa nae
 
Mimi nadhani hakuna tatizo na mnaweza kuishi pamoja.

Tafuta muda, mkae, mueleze kila kitu na msikilize atasemaje. Kama upo tayari mfunge ndoa katika imani yake na kisha uendelee na msimamo wako it's okay. Cha msingi hizo dini ni katika kufunga ndoa na makubaliano yenu.

Kuhusu kwenda kanisani au njia ya kuishi mnaweza kuishi pamoja hata kwa tofauti mlizo nazo. Cha msingi ni mipaka. Sio unywe mpaka ulewe wakati unajua mwenzako haruhusu. Ni mipaka tu. Heshimu mipaka yake nawe afahamu mipaka yako.

Pia kama huna imani za udini onyesha kuwa mstaarabu ili apate imani kuwa unajielewa na hutamkosea. Sio lazima muwe na misimamo sawa ya dini, cha msingi mtambue kila mmoja anaishi vipi na muwe na uaminifu na kupendana kwa dhati.
 
Ananipenda saaaana af nampendaa saaana if loving her is crime wacha niende jela lakini tungi naacha nimeamua rasmi
 
Mtoa maada sina ushauri wowote kwako
Hongera kwa kazi yako ya uagent
Lakini ina haina mwisho mzuri
Mwisho wake ni majuto
Imeifanya siku yangu ianze vibaya
Vitu vingine msiwe mnatutangazia bhana
Most saints were Born siner but end up in heaven kama unafundishwa na kukalili imani yako vizuri japo naijua na siiamini, watu kama nyie hamufai kuwa source ya mabadiliko katika jamii..thanks kwa mchango wako
 
Ntaacha tu gambe nampenda sana huyu sister ntaacha tu sema taratibu tumeshazungumza hayo na ameingia king
 
Heaven sent unanichoma sana leo kuna game za EPL na kanialika kanisani yani sijui naonaje itabidi nimpitie niangalie matokeo live score maana mke namtaka
 
Kumkosa siko tayari kanisani ntaenda sema daa ntaenda tuu nampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…