Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Ficha kucha zako mpaka umuweke ndanInfact sihitaji mech ya ugenini nataka niweke ndani jumla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ficha kucha zako mpaka umuweke ndanInfact sihitaji mech ya ugenini nataka niweke ndani jumla
Sio nikubari matokeo tuuFicha kucha zako mpaka umuweke ndan
huyu anazingua tu Na stori za vijiweniMe nimekuelewa, hizo dini za walokole wale haswa wanakua wamejicommit kweli na mda wao mwingi ni mambo ya dini
Huyo hutamweza kwa kweli mana we unataka yule wa dini ya jpili tu baada ya hapo ni mtoko tu na kunywa
Apo ukute ameshaanza kukukataza uache pombe.
Btw huyo ndo yule doctor au umeopoa mwingine tena[emoji12]
Alaaa kumbeee[emoji15] [emoji15] [emoji15]huyu anazingua tu Na stori za vijiweni
Aliniacha yeye lakini sasa anarudi kwangu ilhali nina mwingine, nimfanye nini aache kunifatafata?
Kama kweli yupo Akusamee na weweMungu akusamehe bureeee
Polehuyu anazingua tu Na stori za vijiweni
Aliniacha yeye lakini sasa anarudi kwangu ilhali nina mwingine, nimfanye nini aache kunifatafata?
Ikiwa utamchukua kwa hila ukilenga kuwa mkioana tu utamzuia kuendelea na imani yake!Sina ujanja wacha niwe mpole tuu mke namtaka haswa siwezi kuwa na namna isipokua kukomaa nae
Kaaka nimekupata ahsanteIkiwa utamchukua kwa hila ukilenga kuwa mkioana tu utamzuia kuendelea na imani yake!
Itakuwa sawa na kumwacha huru mbwa wa kufungiwa ndani na atazunguka mitaa yote ijue...ninamaanisha atajaribu kila kitu kuanzia uzinzi, ulevi, umbea na kila namna ya uovu ambao hakujaribu kuufanya
Perception, perspectiveAlaaa kumbeee[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]piga then uamshe. tafuta wa kuendana na mawazo yako.