Guys naombeni ushauri

Guys naombeni ushauri

Sina ujanja wacha niwe mpole tuu mke namtaka haswa siwezi kuwa na namna isipokua kukomaa nae
Ikiwa utamchukua kwa hila ukilenga kuwa mkioana tu utamzuia kuendelea na imani yake!
Itakuwa sawa na kumwacha huru mbwa wa kufungiwa ndani na atazunguka mitaa yote ijue...ninamaanisha atajaribu kila kitu kuanzia uzinzi, ulevi, umbea na kila namna ya uovu ambao hakujaribu kuufanya
 
Kaaka nimekupata ahsante
 
unampotezea muda, tafuta wa kufanana na wewe
 
Back
Top Bottom