guys niliwamiss sana na ninawapenda pia

guys niliwamiss sana na ninawapenda pia

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
jamani mabinamu wote ladies/ gents niliwamiss na nawapenda sana sina la kuwaambia
2010 sitaki kufulia tena
 
Misd you too!!! tumefurahi umerudi tena salama!!! heri ya mwaka mpya
 
Welcome Back Home! tulikumisi pia,.....
 
nimependa signature yako
 
Misd you too!!! tumefurahi umerudi tena salama!!! heri ya mwaka mpya

thanks nilikuwa busy kama trekta la kilimo kwanza
thanks god wote tumeuona be blessed
 
iribini wew mchonganishi hujaacha tu my wife wako yupo??

kumbe bado unakumbuka visa vya shemeji yangu??? jasiri haachi asili!!!! dadangu ZD yupo anaendelea kumvumilia tu afanyaje???
 
hahaaaaa lol jamani tabu tupu!!!! najuta kukuniniliu mie ahh.
BTW asante kwa ujume thru ZD!!! SAME HERE MAN!!

Hahaha! Huna ujanja wa kunikimbia wewe! Nimetegesha silaha kila upande. Huchomoi!
 
Back
Top Bottom