guys niliwamiss sana na ninawapenda pia

guys niliwamiss sana na ninawapenda pia

Harafu mabinamu naombeni mnifogive sana nimekuwa mswahili kama natokea mombasa ni majukumu tu ya kumsitiri mzee yalinizidia
 
sasa unacheka nini wewe binamu hebu nipe kadi nichange ..

kheeeee we unajiombea kadi mwenyewe loh!!! Goeff mpe na kiwango kabisa huyu ndo anafaaa sio wapwazzzzzzz wengine chenga tuuu!!
 
Hapy new year mamii, missed you too and so much.
 
Karibu sana
siku nyingine usipotee sana basi mamii..
 
hii mwaka hata sisemi happy nyuu yia, tangu ianze nakoswa koswa tu. nishanunua kajeneza jast in kesi nimekufa wizauti preparesheni
 
hii mwaka hata sisemi happy nyuu yia, tangu ianze nakoswa koswa tu. nishanunua kajeneza jast in kesi nimekufa wizauti preparesheni

hahahahah unakoswa koswa kwenye daladala ,machangudoa, au wapi pole?
 
well !! Hakuna Masika yasiokuwa na mbu.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=cQqNxmU7d_M[/ame]
 
nipiemu namba zako!
halafu wewe usipochanga nitakuloga

hahahahaaa!
Kheri ya mwaka mpya? jingo za xmas ulizipiga?

tuambiane kwenye kusherehekea kitanzi chako bana.
 
Back
Top Bottom