Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
We nani kakwambia uhai wako una thamani kuliko mali ya mtu? Ukitaka uhai wako uheshimiwe heshimu mali za watu vinginevyo utauwawa uhai wako hauna thamani yoyote.
Du!,kwahiyo kwa mwanaume kutumia neno guys ni hatari sana!Neno Guys kama mtoto wa kike naweza kusema yupo sawa ila mwanaume hapo ni anko T mwanaume
ULISIKIA ILO NENO KWA WANAUME WA TIKTOKDu!,kwahiyo kwa mwanaume kutumia neno guys ni hatari sana!
Guys nimeona vyombo vya habari na zile taasisi za "mama this, mama that" zikitoa data za kupikwa za vitu vilivyoharibiwa MO29. Guys.
Guys. Sasa ikiwa hata pikipiki zilihesabiwa na kujulikana idadi ya zilizoharibiwa. Guys. Imeshindikana vipi kuweka wazi idadi ya waliouawa kwenye maandamano?
Inazidi kusikitisha kuwa tunaomboleza mali na rasilimali kuliko uhai wa watu waliouawa.
Guys nachoka
Wana mkejeli Mwigulu ndiye aliyekuwa anatumia hilo neno kwenye press kama teenager , Guys guys.Neno Guys kama mtoto wa kike naweza kusema yupo sawa ila mwanaume hapo ni anko T
Unamaanisha Mwigulu Nchemba ni anko TNeno Guys kama mtoto wa kike naweza kusema yupo sawa ila mwanaume hapo ni anko T
Wana mkejeli Mwigulu ndiye aliyekuwa anatumia hilo neno kwenye press kama teenager , Guys guys.