Gwaji boy: Jasusi la mbinguni ni mtu mwenye Kujiamini sana

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha.

Ni chuma kilichomdhibiti Dr. Slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na baadae Sweden.

huu Ni mfupa mgumu uliomshinda Jiwe, mpaka alipotamka hadharani niitieni Gwajima, hii haiji kwa sababu ananguvu za kimungu kuliko wengine Wala majeshi la hasha , bali hajawahi kurudi nyuma katika kusimamia kile anachokiamini na hiyo ndio tafsiri halisi ya JASUSI la MBINGUNI.

Licha ya Jeshi la polisi kuzingira kanisa la JASUSI la MBINGUNI kwa takribani masaa 12 bado JASUSI la MBINGUNI lilifanikiwa kutoweka katika mazingira tata, likiwaacha polisi wakiwakamata wafuasi wa wake pasipokujua ni wapi hasa JASUSI la MBINGUNI alipotokomea.

GWAJI BOY JASUSI LA MBINGUNI
 
Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha.Ni chuma kilichomdhibiti dr.slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na baadae Sweden.
huu Ni mfupa mgumu uliomshinda Jiwe, mpaka alipotamka hadharani niitieni Gwajima..hii haiji kwa sababu ananguvu za kimungu kuliko wengine Wala majeshi la hasha , bali hajawahi kurudi nyuma katika kusimamia kile anachokiamini na hiyo ndio tafsiri halisi ya JASUSI la MBINGUNI.

Isije kuwa kutoweka huku kunafanana na kina Mdude, Soka, Mwangi au hata yule mzee wa mwambao? Ikumbukwe wahuni si watu wazuri!
 
Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha.Ni chuma kilichomdhibiti dr.slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na baadae Sweden.
huu Ni mfupa mgumu uliomshinda Jiwe, mpaka alipotamka hadharani niitieni Gwajima..hii haiji kwa sababu ananguvu za kimungu kuliko wengine Wala majeshi la hasha , bali hajawahi kurudi nyuma katika kusimamia kile anachokiamini na hiyo ndio tafsiri halisi ya JASUSI la MBINGUNI.

Licha ya Jeshi la polisi kuzingira kanisa la JASUSI la MBINGUNI kwa takribani masaa 12 bado JASUSI la MBINGUNI lilifanikiwa kutoweka katika mazingira tata, likiwaacha polisi wakiwakamata wafuasi wa wake pasipokujua ni wapi hasa JASUSI la MBINGUNI alipotokomea.

GWAJI BOY JASUSI LA MBINGUNI
An outbreak of Gwaji boy's lice.
 
FB_IMG_17487781948803917.jpg

Nawaonya Nna press mitihili ya Volcano.
 
Back
Top Bottom