Gwajima alionya ujio wa 5g

Gwajima alionya ujio wa 5g

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Kipindi korona inaanza kuingia Tanzania. Mchungaji Gwajima alionya sana ujio wa 5g kwamba ndio unaoleta hii virus.
Sasa leo voda wamezindua.
Jeee? Amesema chochote tena?
 
Tunasubiri Jumapili tusikie akiamsha dude...
 
Back
Top Bottom