Gwajima alishindwa Kawe wakakatwa 3 akateuliwa yeye, CCM ikapata kura

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3 akateuliwa yeye aliyeshika nafasi ya 4 na CCM ikashinda jimbo la Kawe.

Wanaosalishwa na Gwajima wajitafakari sana, jamaa hayuko vizuri kichwani. Anadhani watu wooote wamesahau kuwa yeye alishika nafasi ya 4 Kawe.
 
Hii nchi changamoto ni udini nothing else
 
Ni kweli Gwajima mwenyewe hakuingia kwa njia ya haki kuwa mbunge hilo.hasemi

Walikatwa waliomzidi kwa kura akawekwa yeye
 
Hakua wa nne, alikua wa tatu rekebisha hapo uendelee na mengind

1) furaha Dominic kura 101
2) Angela kiziga kura 85
3) Josephat Gwajima kura 79
Jambo la msingi hapa ni kwamba kuna watu walikuwa na kura nyingi kuliko Gwajima lakini walikatwa akateuliwa yeye. kama kweli yeye ni askofu angekataa uteuzi ule kwa kuwahurumia wale waliokatwa. Lakini alishangilia bila huruma za waliokatwa na familia zao na waliowapigia kura.

Sasa hivi anasema kukata watu ni dhambi kubwa na CCM haistahili kupewa kura.
 
Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3 akateuliwa yeye aliyeshika nafasi ya 4 na CCM ikashinda jimbo la Kawe.

Wanaosalishwa na Gwajima wajitafakari sana, jamaa hayuko vizuri kichwani. Anadhani watu wooote wamesahau kuwa yeye alishika nafasi ya 4 Kawe.
Unajua sababu ya kutochukuliwa hao wajuu? Una habari jimbo hilo pia alikuwepo ndugu wa kigogo mmoja na bado akafyekwa na kuwekwa Gwajima?
 
Tunataka kuamini kuwa sababu ya kuteuliwa Gwajima na kuachwa wale waliongoza ndizo hizohizo zilitumika kuwaengua wagombea wengine kwenye uchaguzi wa 2025. Bw. Gwajima yeye anasema wakati ule ulikuwa sawa kwake lakini mwaka huu sio sawa kwao. Hiki ndicho kichaa chenyewe tunachohisi.
 
Jambo la msingi hapa ni kwamba kuna watu walikuwa na kura nyingi kuliko Gwajima lakini walikatwa akateuliwa yeye. kama kweli yeye ni askofu angekataa uteuzi ule kwa kuwahurumia wale waliokatwa. Lakini alishangilia bila huruma za waliokatwa na familia zao na waliowapigia kura.

Sasa hivi anasema kukata watu ni dhambi kubwa na CCM haistahili kupewa kura.
Gwajima tapeli tu kama matapeli wengine wa mjini wakiwemo padre Kitima na maaskofu katoliki na manabii na mitume na wachungaji feki waungana na Gwajima ooh yuko sahihi kudai haki.Yeye ana haki gani.muovu mkubwa aliyevaa joho la uaskofu

Wanajitia watetea haki kuungana na Gwajima kudai na kuombea haki hilo la Gwajima kupewa ubunge na wengine kukatwa hao maaskofu katoliki na Padre Kitima nk hawakuyaona ? Kwa nini hawajupigia kelele? Au kumwambia sasa hibi Gwajima rudi nyuma shetani mkubwa wewe mdhulumu haki za watu waliokatwa majina upewe wewe ununge

Mafarisayo wakubwa Gwajima na hso maaskofu katoliki na Kitima na kila mushikana mshikamano na Gwajima
Biblia inatamka wazi kuwa mtawajua kwa matendo yao

Kitendo cha Maaskofu katoliki kutomkemea Gwajima kuwa naye ni mhusika kunyima haki za watu kinawaweka kundi moja na Gwajima kuwa wao wenyewe sio wasafi na Novena waliyofanya imeishia Jehanamu kwa Mungu kutupa maombi yao ya kifarisayo kwenye ziwa la moto
 
Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3 akateuliwa yeye aliyeshika nafasi ya 4 na CCM ikashinda jimbo la Kawe.

Wanaosalishwa na Gwajima wajitafakari sana, jamaa hayuko vizuri kichwani. Anadhani watu wooote wamesahau kuwa yeye alishika nafasi ya 4 Kawe.
Sahihisho tafadhali..... Sio ikapata kura bali tume isiyo huru ikamtangaza ikamtangaza mshindi!!!
 
Hata uteuzi wa bi. Chura nao haukuwa wa halali, aliruka chunjio
Survival for the fittest. She is the fittest. Kaka usicheze na kitu kinachoitwa timing. Wazanzibar kwa miaka mingi tulikuwa tunawachagulia viongozi wao wakuu nani awe Rais na nani asiwe Rais Zanzibar; Wazee akina Warioba, Butiku na wanasheria kama akina Mwabukusi na Nshala walikaa kimya kama vile hawaioni. Wacha Mama Samia awe Rais wetu, she is the fittest, katiba yetu mnampa go ahead na wanaCCM wamempa ridhaa. Subirini 2030 sio mbali panapo majaliwa. Kilele hizi zinazidi kumfanya kuwa imara kama alikuwa amelegealegea na kama kelele zikizidi saaana zinaweza kumfanya awe dikteta kwa Kutumia Katiba hiihii .
 
Back
Top Bottom