Kweli kabisaHii nchi changamoto ni udini nothing else
Ongezea na pascal mayala kwa niabaHakua wa nne, alikua wa tatu rekebisha hapo uendelee na mengind
1) furaha Dominic kura 101
2) Angela kiziga kura 85
3) Josephat Gwajima kura 79
Ni kweli Gwajima mwenyewe hakuingia kwa njia ya haki kuwa mbunge hilo.hasemiNimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3 akateuliwa yeye aliyeshika nafasi ya 4 na CCM ikashinda jimbo la Kawe.
Wanaosalishwa na Gwajima wajitafakari sana, jamaa hayuko vizuri kichwani. Anadhani watu wooote wamesahau kuwa yeye alishika nafasi ya 4 Kawe.
Jambo la msingi hapa ni kwamba kuna watu walikuwa na kura nyingi kuliko Gwajima lakini walikatwa akateuliwa yeye. kama kweli yeye ni askofu angekataa uteuzi ule kwa kuwahurumia wale waliokatwa. Lakini alishangilia bila huruma za waliokatwa na familia zao na waliowapigia kura.Hakua wa nne, alikua wa tatu rekebisha hapo uendelee na mengind
1) furaha Dominic kura 101
2) Angela kiziga kura 85
3) Josephat Gwajima kura 79
Unajua sababu ya kutochukuliwa hao wajuu? Una habari jimbo hilo pia alikuwepo ndugu wa kigogo mmoja na bado akafyekwa na kuwekwa Gwajima?Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3 akateuliwa yeye aliyeshika nafasi ya 4 na CCM ikashinda jimbo la Kawe.
Wanaosalishwa na Gwajima wajitafakari sana, jamaa hayuko vizuri kichwani. Anadhani watu wooote wamesahau kuwa yeye alishika nafasi ya 4 Kawe.
Tunataka kuamini kuwa sababu ya kuteuliwa Gwajima na kuachwa wale waliongoza ndizo hizohizo zilitumika kuwaengua wagombea wengine kwenye uchaguzi wa 2025. Bw. Gwajima yeye anasema wakati ule ulikuwa sawa kwake lakini mwaka huu sio sawa kwao. Hiki ndicho kichaa chenyewe tunachohisi.Unajua sababu ya kutochukuliwa hao wajuu? Una habari jimbo hilo pia alikuwepo ndugu wa kigogo mmoja na bado akafyekwa na kuwekwa Gwajima?
Gwajima tapeli tu kama matapeli wengine wa mjini wakiwemo padre Kitima na maaskofu katoliki na manabii na mitume na wachungaji feki waungana na Gwajima ooh yuko sahihi kudai haki.Yeye ana haki gani.muovu mkubwa aliyevaa joho la uaskofuJambo la msingi hapa ni kwamba kuna watu walikuwa na kura nyingi kuliko Gwajima lakini walikatwa akateuliwa yeye. kama kweli yeye ni askofu angekataa uteuzi ule kwa kuwahurumia wale waliokatwa. Lakini alishangilia bila huruma za waliokatwa na familia zao na waliowapigia kura.
Sasa hivi anasema kukata watu ni dhambi kubwa na CCM haistahili kupewa kura.
Anadhani hawa watu wote ni wajinga kama yeyeKwaji Boy amechaangyikiwa
Sahihisho tafadhali..... Sio ikapata kura bali tume isiyo huru ikamtangaza ikamtangaza mshindi!!!Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3 akateuliwa yeye aliyeshika nafasi ya 4 na CCM ikashinda jimbo la Kawe.
Wanaosalishwa na Gwajima wajitafakari sana, jamaa hayuko vizuri kichwani. Anadhani watu wooote wamesahau kuwa yeye alishika nafasi ya 4 Kawe.
Survival for the fittest. She is the fittest. Kaka usicheze na kitu kinachoitwa timing. Wazanzibar kwa miaka mingi tulikuwa tunawachagulia viongozi wao wakuu nani awe Rais na nani asiwe Rais Zanzibar; Wazee akina Warioba, Butiku na wanasheria kama akina Mwabukusi na Nshala walikaa kimya kama vile hawaioni. Wacha Mama Samia awe Rais wetu, she is the fittest, katiba yetu mnampa go ahead na wanaCCM wamempa ridhaa. Subirini 2030 sio mbali panapo majaliwa. Kilele hizi zinazidi kumfanya kuwa imara kama alikuwa amelegealegea na kama kelele zikizidi saaana zinaweza kumfanya awe dikteta kwa Kutumia Katiba hiihii .Hata uteuzi wa bi. Chura nao haukuwa wa halali, aliruka chunjio