Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Dangote analo bora angekaa kimya kweli
Team alikiba mmepata pa kupitia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dangote analo bora angekaa kimya kweli
Huyo Bashite mchungaji wako, Aaaaaaaaah sorry mungu wako ndiye real?Askofu feki
Aaah. Aaah. Aaah. Ndio nlikuwa napasi hapa. Daaah. Ushanikataza basi tena.We kesho kanisani usije mwanangu.. ujaulamba
Hao wanaoteka watu ndo wanatumia madaraka yao vizuri?Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Nilikuwa namuamini Diamond lkn alivyoanza kuwa dodoki la Bashite nikajua hafiki mbali. Unajiunga kwenye timu ZERO unategemea nini?Nyoosha hao kenge wa Bashite
Mimi pia sijaukubali wimbo lakini sijasikia sehem amepondwa gwajima kiukweli, kasikilize tena.Mond kachemsha kumtetea bashite afu unamponda gwajima . na ile ingeonesha gwajima anaongea uongo sasa naona Mzee kaamua kumzingua mond akili ikae sawa
Mh! Sasa nani anatafuta umaarufu kwa mwenzie hapa!Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
Sio babake, ni basha wake!!!Ila kwa visasi hamshindi baba yake Daudi
Wapo hata humu fwatilia comment utawaonaHivi mpaka leo hawajamjua tu basi watakua na tatizo flani .
Ameshaomba mwenyeweNawaonaaaaa team diamond heheeeeeee leo mavi yanawagonga chupi.....ombeni msamahaaa mapemaaaa