Gwajima amcharukia Diamond

Jina la dimond linakwenda kupaa zaid ha ha ha ukitaka ujulikane sana kwa sasa we mchokoze gwajima,,nashangaa hamorapa kwa nn ajaibuka kwa mzee wa ufufuo na uzima
 
Mond kachemsha kumtetea bashite afu unamponda gwajima . na ile ingeonesha gwajima anaongea uongo sasa naona Mzee kaamua kumzingua mond akili ikae sawa
Mimi pia sijaukubali wimbo lakini sijasikia sehem amepondwa gwajima kiukweli, kasikilize tena.
 
Kama Diamond kaomba msamaha, sjajua wale waliokuwa wanamtetea watafuta kauli zao au wataendeleza u zombie
 
na huku upande wa pili watu wanakanyagwa kama kama viwavi jeshi...hii nchi ina maboya wengi sana
 
New series in town woyooooo....picha lianza sasa washakuchokoza baba mchungaji wanakuchafuaje aisee hawa vijana ebu tupe misa aisee haiwezekan kbs wakuimbe kizembe alaah kesho washa moto wa tipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…