Gwajima amcharukia Diamond

Who is Gwajima Dah! I wish Ningekua mm yani nimetoa Huo wimbo Alafu nimsikie mjinga mmoja Ananitishia kudadeki kingenuka Kuna Baadhi ya Watu Nimeona Mmeshaanza upuuzi wa kumwogopa Huyu Gwajima Ndugu Fear God NoT Human
shida iko wap...we kamtukane tu alaf utajua nn watu wanamaansha kwa kile kumuogpa gwajima
 
Acha ujinga

Hata Yesu alikemea upuuzi km huu
Mkuu, asante sana.

Pamoja na kukemea ,Yesu aliwahurumia na kuwaombea.

Mtumishi ananipa shida kidogo juu ya matumiz ya nyumba ya ibada na majibizano kana kwamba yeye pia ni wa ulimwengu( He is out of CHRISTIANITY).

mkuu Habari ya hapa, umepewa aikli with all 5 senses zitumie vizuri. Akili ya kushikiwa imepitwa na wakati.
 
... Jamani good thing ni kwamba huwa anawatahadharisha mapema, hivi ukiona kibao kuna Mbwa Mkali hapa why go there??

Good point. Huwa nawashangaa sana hawa jamaa wasiojua watu wa kuchokoza. Wanataka vita na ushindi mrahisi rahisi lakini hawajitumi kuchagua adui saizi yao.

Si kila mtu ana kipaji cha uvumilivu au ustaarabu au staha kwamba ukimsemea ovyo ama atakaa kimya au kukujibu kwa staha ilhali wewe ukiendelea kumtolea mbovu tu. Angalau heri safari hii Askofu katoa tahadhari mapema.
 
Hawa wafuasi wana kazi.
Mahubiri haya du
 
Who is Gwajima Dah! I wish Ningekua mm yani nimetoa Huo wimbo Alafu nimsikie mjinga mmoja Ananitishia kudadeki kingenuka Kuna Baadhi ya Watu Nimeona Mmeshaanza upuuzi wa kumwogopa Huyu Gwajima Ndugu Fear God NoT Human
Unajiamini mwambie bashite
 
Siav sio kuwahurumia,unawachapa kwanza ndio unawaombea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…