shida iko wap...we kamtukane tu alaf utajua nn watu wanamaansha kwa kile kumuogpa gwajimaWho is Gwajima Dah! I wish Ningekua mm yani nimetoa Huo wimbo Alafu nimsikie mjinga mmoja Ananitishia kudadeki kingenuka Kuna Baadhi ya Watu Nimeona Mmeshaanza upuuzi wa kumwogopa Huyu Gwajima Ndugu Fear God NoT Human