Gwajima amcharukia Diamond

sijaona alipomtaja hyo gwajima kw lengo la kutetea vyeti feki sema huyo nae mtu wa kupenda kiki tu tushamchoka..
 
Nimefutahishwa na jinsi alivyoomba msamaha [emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana alikurupuka kuimba huo wimbo
 
Hivi watanzania mbona tunakuwa na fikra mbovu sana na wavivu wa kufikiri??asa gwaji boi alikuwa wap siku zote hizo kusema kuwa mondi alikuwa masony??na gwaji boi ni nany haswa mpaka awe anajua kila kichu cha mtu atakaemsema??so inamaanisha hata mm leo nikimsema gwaji probably atakuja kusema ananifahamu ohh sijui nimefanyaje...
Note:hata bible ulishatabiri kuwa nyakati za mwisho manabi wa uongo watakuwa wakiongezeka sana.

mjomba_tz
 
Yule nae mnafiki tu ,mondy hata kama yuko masony yanamhusu????kashindwa kuchunga kondoo wake kila ibada za Siku hizi ni umbea tu, na yeye atusaidie kapata wapi utajiri alionao na ss tutafte,yaani siku hizi watu hawaendi kusali Bali kusikiliza unafiki

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Sure kabisa...nimeshangaa kuona asubuhi nakutana na txt inasema sijui neno wasafi inamaana ya kimasony.....ninecheka sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yule mzee anafanya buashara tuu...hana injili yoyote ile...mtu kuwa au kutokuwepo masony hautuhusu watu wameenda kanisan kutafuta injili yeye anageuza kuwa sehemu ya ubuyu.

mjomba_tz
 
Watu wanajidai vojongoo kwa Gwajima kumbe mitetea tena yenye kideli(newcastle disease)
Hapana hata gwajima anakosea ,hapaswi kusema maneno kama Yale mbele ya madhabahu, ni bora ayaongee akiwa mazingira tofauti na kanisani,najua kila mtu ana Uhuru wa kuongea Ila usipoutumia Uhuru wako vzr ,utakuwa kero kwa wengine

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 

Najua Gwajima anaposema ukweli wengi huchukia na alipokuwa akisemwa Gwajima watu hao hao walichekelea na kushangilia!!!
 
Najua Gwajima anaposema ukweli wengi huchukia na alipokuwa akisemwa Gwajima watu hao hao walichekelea na kushangilia!!!
Hapana mm sijapinga gwajima kusema ukweli ,but anatakiwa aseme ukweli ,but kuna maneno hapaswi ongea mbele ya madhabahu hayampendezi mungu ,lakini ukweli yeye aseme na asivuke mipaka ,kama swala la kusema mondy ni masony akngekaa kimya na kumuonya juu ya kumuimba ,that's all

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Gwajima anadharirisha kweli wa kristo anguko lake haliko mbali,anatumia madhabahu kwa shuguli zake binafsi atubu hukumu yaja upesi
 

Tataizo wengi hawamwelewi Gwajima huyu siyo mchungaji wa kawaida hivyo unapotaka kuingia anga zake jipange!!!!Pia kumbuka wanasiasa na wanamziki wao wanalo jukwaa la kusemea lakini Gwajima hana na hawezi kuomba kibali cha mkutano wa hadhara kama wanasiasa,Kwa hiyo Madhabahu inabaki kuwa sehemu yake ya kujibu tuhuma wanazomsingizia hapo tena vichwa maji wanalalamika!!mnalalamikia nini maana mnamchokoza wenyewe!!!
 
Yaan dash,hata yesu alisema imani yako itakuponya

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Kama anasema mondy ni masony basi ujue wote ni team moja

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Nonsense.....madhabahu sio sehemu ya kujibu tuhuma wala kufanya mambo ya ajabu ajabu...anajichafua tuu.

mjomba_tz
 
nchi imebakia kuteka tuu wananchi wake mbona vijana ndo nguvu kazi wanatekwa?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…