chriatina mtavangu
Member
- Feb 6, 2017
- 6
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule nae mnafiki tu ,mondy hata kama yuko masony yanamhusu????kashindwa kuchunga kondoo wake kila ibada za Siku hizi ni umbea tu, na yeye atusaidie kapata wapi utajiri alionao na ss tutafte,yaani siku hizi watu hawaendi kusali Bali kusikiliza unafikiHivi watanzania mbona tunakuwa na fikra mbovu sana na wavivu wa kufikiri??asa gwaji boi alikuwa wap siku zote hizo kusema kuwa mondi alikuwa masony??na gwaji boi ni nany haswa mpaka awe anajua kila kichu cha mtu atakaemsema??so inamaanisha hata mm leo nikimsema gwaji probably atakuja kusema ananifahamu ohh sijui nimefanyaje...
Note:hata bible ulishatabiri kuwa nyakati za mwisho manabi wa uongo watakuwa wakiongezeka sana.
mjomba_tz
Sure kabisa...nimeshangaa kuona asubuhi nakutana na txt inasema sijui neno wasafi inamaana ya kimasony.....ninecheka sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yule mzee anafanya buashara tuu...hana injili yoyote ile...mtu kuwa au kutokuwepo masony hautuhusu watu wameenda kanisan kutafuta injili yeye anageuza kuwa sehemu ya ubuyu.Yule nae mnafiki tu ,mondy hata kama yuko masony yanamhusu????kashindwa kuchunga kondoo wake kila ibada za Siku hizi ni umbea tu, na yeye atusaidie kapata wapi utajiri alionao na ss tutafte,yaani siku hizi watu hawaendi kusali Bali kusikiliza unafiki
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hapana hata gwajima anakosea ,hapaswi kusema maneno kama Yale mbele ya madhabahu, ni bora ayaongee akiwa mazingira tofauti na kanisani,najua kila mtu ana Uhuru wa kuongea Ila usipoutumia Uhuru wako vzr ,utakuwa kero kwa wengineWatu wanajidai vojongoo kwa Gwajima kumbe mitetea tena yenye kideli(newcastle disease)
Hapana hata gwajima anakosea ,hapaswi kusema maneno kama Yale mbele ya madhabahu, ni bora ayaongee akiwa mazingira tofauti na kanisani,najua kila mtu ana Uhuru wa kuongea Ila usipoutumia Uhuru wako vzr ,utakuwa kero kwa wengine
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hapana mm sijapinga gwajima kusema ukweli ,but anatakiwa aseme ukweli ,but kuna maneno hapaswi ongea mbele ya madhabahu hayampendezi mungu ,lakini ukweli yeye aseme na asivuke mipaka ,kama swala la kusema mondy ni masony akngekaa kimya na kumuonya juu ya kumuimba ,that's allNajua Gwajima anaposema ukweli wengi huchukia na alipokuwa akisemwa Gwajima watu hao hao walichekelea na kushangilia!!!
Hapana mm sijapinga gwajima kusema ukweli ,but anatakiwa aseme ukweli ,but kuna maneno hapaswi ongea mbele ya madhabahu hayampendezi mungu ,lakini ukweli yeye aseme na asivuke mipaka ,kama swala la kusema mondy ni masony akngekaa kimya na kumuonya juu ya kumuimba ,that's all
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Yaan dash,hata yesu alisema imani yako itakuponyaSure kabisa...nimeshangaa kuona asubuhi nakutana na txt inasema sijui neno wasafi inamaana ya kimasony.....ninecheka sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yule mzee anafanya buashara tuu...hana injili yoyote ile...mtu kuwa au kutokuwepo masony hautuhusu watu wameenda kanisan kutafuta injili yeye anageuza kuwa sehemu ya ubuyu.
mjomba_tz
Kama anasema mondy ni masony basi ujue wote ni team mojaSure kabisa...nimeshangaa kuona asubuhi nakutana na txt inasema sijui neno wasafi inamaana ya kimasony.....ninecheka sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..yule mzee anafanya buashara tuu...hana injili yoyote ile...mtu kuwa au kutokuwepo masony hautuhusu watu wameenda kanisan kutafuta injili yeye anageuza kuwa sehemu ya ubuyu.
mjomba_tz
Nonsense.....madhabahu sio sehemu ya kujibu tuhuma wala kufanya mambo ya ajabu ajabu...anajichafua tuu.Tataizo wengi hawamwelewi Gwajima huyu siyo mchungaji wa kawaida hivyo unapotaka kuingia anga zake jipange!!!!Pia kumbuka wanasiasa na wanamziki wao wanalo jukwaa la kusemea lakini Gwajima hana na hawezi kuomba kibali cha mkutano wa hadhara kama wanasiasa,Kwa hiyo Madhabahu inabaki kuwa sehemu yake ya kujibu tuhuma wanazomsingizia hapo tena vichwa maji wanalalamika!!mnalalamikia nini maana mnamchokoza wenyewe!!!