Tusiojua kutukana huwa hutuna maneno mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,usipende kutumia lugha ya hovyo ili upate wa kubishana nae,it's better ukafanya mambo mengine
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] pole kwa kuumiza kichwa kwa usichokijua, unajua ubongo wa binadamu umegawanyika mara tatu,ila wako yaweza kuwa umegawanyika Mara mbili,ndugu yangu kwa kutumia lugha simple ,kwa nn unapoteza muda huku ukijua tuna bwabwaja au bundle linaelekea kukata unalimalizia ,don't waste ur time to comment nonsense [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mnashabiki na kuhoji nini kuhusu Gwajima??mnasumbuliwa na U-Bashite tu hakuna hoja ya msingi mnabaki kubwabwaja tu,Bora mjiunge na SHILAWADU ili mpige majungu vizuri!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] pole kwa kuumiza kichwa kwa usichokijua, unajua ubongo wa binadamu umegawanyika mara tatu,ila wako yaweza kuwa umegawanyika Mara mbili,ndugu yangu kwa kutumia lugha simple ,kwa nn unapoteza muda huku ukijua tuna bwabwaja au bundle linaelekea kukata unalimalizia ,don't waste ur time to comment nonsense [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
kuwa na wewe baba mdaku utafute wafuasi uone kama utapataSio baba mchungaji tena naona ni baba mdaku na mtafuta wafuasi kanisani.
Ayubu akasema ninajua mtetezi wangu yu hai na hatimaye atasimama. Watumishi wa kweli wanae mtetezi,hawatoki povu na mishipa ya shingo kujitetea[emoji135]Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
ok kwa kuwa wewe ni gatewoman wa lango la mbinguniNdio nyie mtamwambia Mungu Askofu Gwajima kaingiaje mbinguni sisi umetuacha! Mnakremisha sana tatizo!
Siyo kukrem unaelezwa ukweli, Yesu hakuhubiri visasi baina ya wanadamu bali upatanishi tu.Hiyo mitabia ya kukrem mtaacha lini?
Kumbe huko kuna magatewoman, itakuwa sio mbingu ninayoongelea mimiok kwa kuwa wewe ni gatewoman wa lango la mbinguni
Na wapi Yesu alihubiri kuhukumu wengine?Siyo kukrem unaelezwa ukweli, Yesu hakuhubiri visasi baina ya wanadamu bali upatanishi tu.
we mbingu unaijua?Kumbe huko kuna magatewoman, itakuwa sio mbingu ninayoongelea mimi
Mkuu umenichekesha sana kwa hii post yako yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii nchi kila siku maisha ni full stress ila watu wana nyuso za furaha na vicheko kila kona. Full vichekesho kwa mambo yanavyoendelea. Kila kuchwao kuna lake