Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Mond atoe hio Picha ya baba wa taifa kwani haiendani na maudhui ya wimbo huo unaoegemea upande mmoja awweke za familiar yake,mwalimu akuwahi kukaa kimya kinafiki alisimama kukemea uovu.Pia aacha kujiusisha na siasa maana atawapoteza mashabiki wake.
 
Tusiojua kutukana huwa hutuna maneno mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,usipende kutumia lugha ya hovyo ili upate wa kubishana nae,it's better ukafanya mambo mengine

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Sasa mnashabiki na kuhoji nini kuhusu Gwajima??mnasumbuliwa na U-Bashite tu hakuna hoja ya msingi mnabaki kubwabwaja tu,Bora mjiunge na SHILAWADU ili mpige majungu vizuri!!!
 
Sasa mnashabiki na kuhoji nini kuhusu Gwajima??mnasumbuliwa na U-Bashite tu hakuna hoja ya msingi mnabaki kubwabwaja tu,Bora mjiunge na SHILAWADU ili mpige majungu vizuri!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] pole kwa kuumiza kichwa kwa usichokijua, unajua ubongo wa binadamu umegawanyika mara tatu,ila wako yaweza kuwa umegawanyika Mara mbili,ndugu yangu kwa kutumia lugha simple ,kwa nn unapoteza muda huku ukijua tuna bwabwaja au bundle linaelekea kukata unalimalizia ,don't waste ur time to comment nonsense [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] pole kwa kuumiza kichwa kwa usichokijua, unajua ubongo wa binadamu umegawanyika mara tatu,ila wako yaweza kuwa umegawanyika Mara mbili,ndugu yangu kwa kutumia lugha simple ,kwa nn unapoteza muda huku ukijua tuna bwabwaja au bundle linaelekea kukata unalimalizia ,don't waste ur time to comment nonsense [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Ujinga mmekalia kusema watu ovyo!! Hivi mnalipwa shilingi ngapi kwa kumjadili Gwajima??Hata hivyo itawasaidia nini??Bashite yamemshinda mpaka anavamia studio za clouds ili ashinikize kumchafua Gwajima nini mtaweza wapi?? Ujinga mtupu kukalia kusema mtu ambaye hata si saizi yenu kwa lolote,Mnajifanya mnajua umhimu wa madhabahu kwani mlimweka ninyi kwenye huo uchungaji?? Endeleeni kubwabwaja lakini haitawasaidi mnajadili Nonsense kabisa
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Ayubu akasema ninajua mtetezi wangu yu hai na hatimaye atasimama. Watumishi wa kweli wanae mtetezi,hawatoki povu na mishipa ya shingo kujitetea[emoji135]
 
Inawezekana askofu gwajima ni shetani waumini wake hawajui haeleweki yeye ni nani? Kwenye imani hayupo wala kwenye siasa lakini kwenye umbea mpaka povu hebu njuzeni nimfaham

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Maandiko yanasema akupigae kofi upande wa kulia mgeuzie na kushoto na auwaye kwa upanga naye afe kwa upanga
 
Du shetani kacharuka mm c muumini wa gwajima mm naamini mungu aliye umba mbingu na nchi na siwezi kufuata ya binadam niache ya mungu anayefuata ya binadam ni shetani

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi kila siku maisha ni full stress ila watu wana nyuso za furaha na vicheko kila kona. Full vichekesho kwa mambo yanavyoendelea. Kila kuchwao kuna lake
Mkuu umenichekesha sana kwa hii post yako yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ijueni kweli ili hiyo kweli iwaweke huru. Mtu husamehewa baada ya kutubu / kuomba msamaha. Hilo ndilo neno la Mungu. Pasipo kutubu hakuna msamaha wa dhambi.
Kama Gwajima angeombwa msamaha asisamehe nadhani huduma yake ingekuwa bure mbele za Mungu anayemtumikia. Hilo eleweni nyie mnaorudia rudia msilolijua.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom