Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Mods kama ikibainika aliyetoa huu uzi kasema uongo msisahau kumpiga BAN tumechoka na huu utoto.
 
View attachment 492823
Salamaaa

Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.

Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.

Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kagusa pabaya, mtoto wa mjini asicheze naye,atatandikwa makofi vibaya sana! Heri akane ilo andiko! Vijana wametoka mbali!
 
Back
Top Bottom