Gwajima amcharukia Diamond

Mods kama ikibainika aliyetoa huu uzi kasema uongo msisahau kumpiga BAN tumechoka na huu utoto.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kagusa pabaya, mtoto wa mjini asicheze naye,atatandikwa makofi vibaya sana! Heri akane ilo andiko! Vijana wametoka mbali!
 
Hahhaaa kweli kila siku linakuja jipya. Siku nikipoteza smartphone sijui itakuaje. Maana naona wasiokuwa na smartphone hawaifaidi hii nchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…